Tag: Ngeli za kiswahili

  • Ngeli ya I-ZI na Mifano

    Katika ngeli ya I-ZI maneno hayabadiliki katika wingi. Majina mengi ya kukopwa kutoka lugha zingine hupatikana katika ngeli hii. Viambishi ngeli katika ngeli hii ni i katika umoja na zi katika wingi. Read more

  • Ngeli zote za kiswahili na mifano

    Ngeli ni mfumo wa kisarufi katika lugha ya Kiswahili ambao hutumia viambishi awali ili kuonyesha jinsia, wingi, na hali ya nomino. Ngeli za Kiswahili, kuna ngeli ya: Read more

  • Ngeli ya A-WA na mifano

    Hii ni ngeli ya majina ya viumbe wenye uhai k.vwatu, wanyama, ndege, wadudu, miungu, malaikan.k Majina mengi katika ngeli ya A-WA huanza kwasauti M- kwa umoja na sauti WA- kwa wingi. Hatahivyo baadhi ya majina huchukua miundo tofauti. Read more