Tag: siku ya wanawake

  • Jumbe za siku ya wanawake duniani

    Siku ya wanawake duniani ni sikukuu ya kimataifa inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 8 Machi kama siku ya kupigania haki za wanawake. Inaangazia masuala kama vile usawa wa kijinsia, haki za uzazi, na unyanyasaji dhidi ya wanawake. Hapa sisi tutakupa jumbe za kusherekea siku ya wanawake duniani. Read more