Tag: vitenzi

  • Aina za vitenzi katika Kiswahili

    Vitenzi ni aina ya neno linaloeleza kitendo au hali inayofanywa na mtendaji. Aina za vitenzi: Vitenzi halisi, Vitenzi vikuu,Vitenzi visaidizi, Vitenzi vishirikishi, Vitenzi sambamba Read more

  • Mnyambuliko wa vitenzi na mifano

    Mnyambuliko wa vitenzi ni urefushaji wa vitenzi kwa kuambisha mzizi wa vitenzi kwa viambishi tamati ili kuvipa vitenzi hivyo maana lengwa na halisi. Read more