Author: Brennon Nakisha
- Kinyume cha neno twika- Twika ni inua kitu na kukibandika begani au kichwani. Mfano: Mama alimtwika mtoto kuni kichwani.… 
- Kinyume cha neno mrembo- Kinyume cha mrembo ni mtanashati au matindija kulingana na muktadha wa kinyume unacho lenga.