Category: Learn Swahili
Sehemu hii inahusu maana ya maneno ya Kiswahili na kujifunza kuhusu Lugha ya Kiswahili.
Kinyume cha neno meza
Kinyume cha meza (kukula) ni: tapika au tema. Read more
Kinyume cha neno tandika
Kinyume cha tandika ni tandua. Read more
Kinyume cha neno zika
Kinyume cha zika ni: zikua, zua au fukua. Read more
Kinyume cha neno wema
Kinyume cha wema ni uovu au ubaya. Read more
Kinyume cha neno mkaidi
Kinyume cha mkaidi ni mtiifu. Read more
Kinyume cha neno zama
Kinyume cha zama ni elea. Read more
Kinyume cha neno ezeka
Kinyume cha ezeka ni ezua. Read more
Kinyume cha neno ajuza
Kinyume cha ajuza ni buda au shaibu Read more
Kinyume cha neno mjomba
Kinyume cha mjomba ni halati au hale. Read more
Kinyume cha neno shangazi
Kinyume cha shangazi ni ami. Read more