Category: Learn Swahili
Sehemu hii inahusu maana ya maneno ya Kiswahili na kujifunza kuhusu Lugha ya Kiswahili.
Kinyume cha neno jasiri
Kinyume cha jasiri ni ogopa, mwoga, hofu au chelea. Read more
Kinyume cha neno mfalme
Kinyume cha mfalme ni: malkia, raia, mtumishi nk. Read more
Kinyume cha neno imba
Hii ni baadhi ya kinyume cha imba: Nyamaza, ongea, sema, zungumza, kariri, n.k. Read more
Kinyume cha neno baraka
Kinyume cha baraka ni: Laana, msiba, taabu, maafa, shida, nk. Read more
Kinyume cha neno raha
Kinyume cha raha ni huzuni, uchungu, shida nk. Read more
Kinyume cha neno tia
Kinyume cha tia ni toa. Read more
Kinyume cha neno butu
Kinyume cha butu ni kali. Read more
Kinyume cha neno fuma
Kinyume cha fuma ni fumua. Read more
Kinyume cha neno beberu
Kinyume cha beberu ni mbarika au dachia. Read more
Kinyume cha neno kali
Kinyume cha kali (-enye ubapa ulionolewa) ni butu. Kinyume cha kali (-enye ladha kama pilipili) ni tamu. Kinyume cha kali (-enye kupenda kudhuru.) ni rahisi, laini, nyoofu au mpole. Kinyume cha kali (-enye kucheneta mwilini) ni nyepesi au tulivu. Read more