Category: Learn Swahili
Sehemu hii inahusu maana ya maneno ya Kiswahili na kujifunza kuhusu Lugha ya Kiswahili.
Kinyume cha neno shujaa
Kinyume cha shujaa ni mwoga au chuchu. Read more
Kinyume cha neno mgeni
Kinyume cha mgeni ni:Mwenyeji au mkazi. Read more
Kinyume cha neno kapera
Kinyume cha kapera ni bikira au mwanamwali. Read more
Kinyume cha neno tabasamu
Kinyume cha tabasamu ni: mnuno, nuna fura au tuna. Read more
Kinyume cha neno pika
Kinyume cha neno pika ni pakua. Pakua ni kutoa chakula kutoka kwenye sufuria au sinia na kukitia katika sahani. Read more
Kinyume cha neno mtoto
Kinyume cha mtoto ni mtu mzima, kijana au mzazi. Read more
Kinyume cha neno fahali
Kinyume cha neno “fahali” ni “mtamba, mfarika au dachia”, ambayo ni jinsia tofauti ya “fahali”. Fahali pia hujulikana kama ng’ombe wa kiume, na wana nguvu zaidi kuliko ng’ombe wa kike, na pia ana mifupa minene. Read more
Kinyume cha neno jogoo/ jimbi
Kinyume cha jogoo ni koo. Read more
Udogo na ukubwa wa neno mlango
Neno mlango linaanza na herufi {m} mwanzoni na lina silabi mbili au zaidi katika mzizi, kwa hivyo tunadondosha herufi {m} na kupata ukubwa wa mlango kama lango. Read more
Udogo na ukubwa wa neno ndizi
Neno ndizi huanza na herufi {n} mwanzoni kisha kufuatwa na konsonanti ingine kuunda herufi za konsonanti mbili, kwa hivyo tunadondosha herufi {n} na kupata ukubwa wa neno ndizi kama dizi. Read more