Category: Maana ya maneno

  • Maana ya neno amfibia na English translation

    Maana ya neno amfibia Matamshi: /amfibia/ (Nomino katika ngeli ya [a-wa]) Maana: viumbe walio katika jamii ya chura, wanaoweza kuishi katika maji au nchi kavu. Amfibia Katika Kiingereza (English translation) Amfibia katika Kiingereza ni: amphibian. Read more

  • Maana ya neno amfari na English translation

    Maana ya neno amfari Matamshi: /amfari/ (Nomino katika ngeli ya [a-wa]) Maana: mshiriki au rafiki yangu. Amfari Katika Kiingereza (English translation) Amfari katika Kiingereza ni: my friend, my companion. Read more

  • Maana ya neno amfetamini na English translation

    Maana ya neno amfetamini Matamshi: /amfetamini/ (Nomino katika ngeli ya [i-zi]) Maana: dawa ya kulevya ambayo huamsha na kuusisimua mfumo mkuu wa neva za mwili na pia hutumiwa kumchangamsha mtu aliyezongwa na huzuni; dawa ya kulevya inayotumiwa mara nyingine kudhibiti ulaji ili kupunguza unene wa mtu. Amfetamini Katika Kiingereza (English translation) Amfetamini katika Kiingereza ni:… Read more

  • Maana ya neno ameta na English translation

    Maana ya neno ameta Matamshi: /amɛta/ (Nomino katika ngeli ya [i-zi]) Maana: ala inayotumika kupimia nguvu za mawimbi ya umeme kwa vipimo vya ampea. Ameta Katika Kiingereza (English translation) Ameta katika Kiingereza ni: ammeter. Read more

  • Maana ya neno amdelahane na English translation

    Maana ya neno amdelahane Matamshi: /amdelahanɛ/ (Nomino katika ngeli ya [i-zi]) Maana: pia amderahani, kitambaa cha hariri ambacho kina mguso laini. Amdelahane Katika Kiingereza (English translation) Amdelahane katika Kiingereza ni: soft silk. Read more

  • Maana ya neno ambulia na English translation

    Maana ya neno ambulia Matamshi: /ambulia/ (Kitenzi elekezi) Maana: ishia kufanikiwa au kupata kitu ulichokuwa unakivizia. Msemo: Ambulia patupu: Kutopata chochote. Ambulia Katika Kiingereza (English translation) Ambulia katika Kiingereza ni: Succeed, get what you were looking for. Read more

  • Maana ya neno ambulensi na English translation

    Maana ya neno ambulensi Matamshi: /ambulesi/ (Nomino katika ngeli ya [i-zi]) Maana: pia ambulansi, gari maalum lenye alama wazi inayotambulika la kuchukulia au kubebea wagonjwa kwa haraka kubwa hadi hospitali au kituo cha matibabu. Ambulensi Katika Kiingereza (English translation) Ambulensi katika Kiingereza ni: ambulance. Read more

  • Maana ya neno ambukiza na English translation

    Maana ya neno ambukiza Matamshi: /ambukiza/ (Kitenzi elekezi) Maana: 1. sambaza au eneza ugonjwa au maradhi. 2. badili, shawishi au athiri tabia ya mtu. Mnyambuliko wake ni: → ambukizana, ambukizia, ambukizika, ambukizwa. Ambukiza Katika Kiingereza (English translation) Ambukiza katika Kiingereza inategemea na maana unayokusudia: Read more

  • Maana ya neno ambua na English translation

    Maana ya neno ambua Matamshi: /ambua/ (Kitenzi elekezi ) Ambua 1 1. ondoa ganda la juu. Kisawe chake ni menya. 2. fanikiwa au faidika. Kisawe chake ni zawadiwa. Mnyambuliko wa ambua ni: → ambulia, ambulika, ambulisha, ambuliwa. Ambua 2 (Kitenzi elekezi) Maana: nyanyua; inua, vuta juu. Mnyambuliko wake ni: → ambuana, ambulia, ambulika, ambulisha, ambuliwa.… Read more

  • Maana ya neno ambrosi na English translation

    Maana ya neno ambrosi Matamshi: /ambrɔsi/ (Nomino katika ngeli ya [i-zi]) Maana: chakula kinachopewa miungu ya Kigiriki na Kirumi. Ambrosi Katika Kiingereza (English translation) Ambrosi katika Kiingereza ni: ambrosia. Read more