Category: Kamusi
Maana ya neno adeade na English translation
Maana ya neno adeade (Nomino, ngeli ya [i-/zi-]), udhoofu wa mwili. Adeade Katika Kiingereza (English…
Maana ya neno adapta na English translation
Maana ya neno adapta (Nomino, ngeli ya [i-/zi-]) kitu kinachodhibiti umeme unaoingia kwenye kitu kingine…
Maana ya neno adana na English translation
Maana ya neno adana (Nomino, ngeli ya[i-/zi-]) ala mojawapo inayotumiwa katika kupigia muziki. Adana Katika…
Maana ya neno adamu na English translation
Maana ya neno adamu (Nomino, ngeli ya [a-]) (dini) mtu wa kwanza kuumbwa na Mungu.…
Maana ya neno adabu na English translation
Maana ya neno adabu (Nomino, ngeli ya [i-]), heshima; tabia nzuri. Mfano: Yeye hana adabu.…
Maana ya neno adaa na English translation
Maana ya neno adaa (Nomino katika ngeli ya [i-/zi-]), ulazima unaompasa mtu kuutenda kwa mujibu…
Maana ya neno ada na English translation
Maana ya neno ada 1. (Nomino katika ngeli ya [i-/zi-]), gharama au karo anayolipa mtu…
Maana ya neno achish.a na English translation
Maana ya neno achish.a (Kitenzi <ele>), simamisha shughuli au tendo fulani lisiendelee. Mfano: Mkurugenzi amemwachisha…
Maana ya neno achik.a na English translation
Maana ya neno achik.a (Kitenzi <sie>), pewa talaka, talikiwa. Mfano: Baluli ameachika baada ya kugombana…
Maana ya neno achi.a na English translation
Maana ya neno achi.a (Kitenzi <ele>), samehe deni au haki yako, toa hatiani. Mfano: Mahakama…