Category: Kamusi
Maana ya neno amfibia na English translation
Maana ya neno amfibia Matamshi: /amfibia/ (Nomino katika ngeli ya [a-wa]) Maana: viumbe walio katika…
Maana ya neno amfari na English translation
Maana ya neno amfari Matamshi: /amfari/ (Nomino katika ngeli ya [a-wa]) Maana: mshiriki au rafiki…
Maana ya neno amfetamini na English translation
Maana ya neno amfetamini Matamshi: /amfetamini/ (Nomino katika ngeli ya [i-zi]) Maana: dawa ya kulevya…
Maana ya neno ameta na English translation
Maana ya neno ameta Matamshi: /amɛta/ (Nomino katika ngeli ya [i-zi]) Maana: ala inayotumika kupimia…
Maana ya neno amdelahane na English translation
Maana ya neno amdelahane Matamshi: /amdelahanɛ/ (Nomino katika ngeli ya [i-zi]) Maana: pia amderahani, kitambaa…
Maana ya neno ambulia na English translation
Maana ya neno ambulia Matamshi: /ambulia/ (Kitenzi elekezi) Maana: ishia kufanikiwa au kupata kitu ulichokuwa…
Maana ya neno ambulensi na English translation
Maana ya neno ambulensi Matamshi: /ambulesi/ (Nomino katika ngeli ya [i-zi]) Maana: pia ambulansi, gari…
Maana ya neno ambukiza na English translation
Maana ya neno ambukiza Matamshi: /ambukiza/ (Kitenzi elekezi) Maana: 1. sambaza au eneza ugonjwa au…
Maana ya neno ambua na English translation
Maana ya neno ambua Matamshi: /ambua/ (Kitenzi elekezi ) Ambua 1 1. ondoa ganda la…
Maana ya neno ambrosi na English translation
Maana ya neno ambrosi Matamshi: /ambrɔsi/ (Nomino katika ngeli ya [i-zi]) Maana: chakula kinachopewa miungu…