Category: Kamusi
Sehemu hii inahusu maana ya maneno ya Kiswahili na kujifunza kuhusu Lugha ya Kiswahili.
Maana ya maliasili, malighafi, ujasiriamali, urathi na mifano
Elewa maana ya maliasili, malighafi, ujasiriamali na mifano Read more
Maana ya sajili
Sajili ni matumizi ya lugha katka mazingiza mbalimbali, inayoifanya lugha kubadilibadlika. Read more
Maana ya shashi
Shashi ni nini? Shashi ni karatasi nyembamba sana. Read more
Silabi na mifano
Silabi ni fungu la sauti linalotamkwa kwa pamoja kama fungu moja la sauti. Silabi inaweza kuwa na irabu moja au zaidi, au konsonanti moja au zaidi. Read more
Ngeli ya A-WA na mifano
Hii ni ngeli ya majina ya viumbe wenye uhai k.vwatu, wanyama, ndege, wadudu, miungu, malaikan.k Majina mengi katika ngeli ya A-WA huanza kwasauti M- kwa umoja na sauti WA- kwa wingi. Hatahivyo baadhi ya majina huchukua miundo tofauti. Read more
Mnyambuliko wa vitenzi na mifano
Mnyambuliko wa vitenzi ni urefushaji wa vitenzi kwa kuambisha mzizi wa vitenzi kwa viambishi tamati ili kuvipa vitenzi hivyo maana lengwa na halisi. Read more
Maneno ya heshima na adabu
Maneno ya heshima na adabu yanaweka msingi jinsi ya kuishi na watu. Kutumia maneno haya kunaonyesha shukrani, adabu, na fadhili na kunaweza kueneza hali chanya na kuwafanya watu wakupende zaidi. Read more
Tofauti kati ya fasihi simulizi na fasihi andishi
Fasihi ni sanaa inayotumia lugha au maneno katika sura mbalimbali kuwasilisha ujumbe unaomhusu binadamu. Hizi hapa ni tofauti kati ya fasihi simulizi na fasihi andishi. Read more
Vitendawili vya kiswahili na majibu yake
Hapa chini utapata vitendawili zaidi ya 350 na majibu yake kulingana na alfabeti. Pia mwishoni wa vitendawili hivi utapata vitendawili na majibu pdf ya kudownload. Read more
Mifano 100 ya nomino dhahania
Nomino za dhahania ni maneno yanayotaja majina ya watu na vitu ambavyo ni vya kufikirika tu. Hapa chini ni mifano ya nomino dhahania. Read more