Category: Swahili quotes
Sehemu hii inahusu dondoo katika lugha ya Kiswahili
100 SMS za asubuhi njema kwa mpenzi
Ikiwa ungependa kusema “habari za asubuhi” kwa mpenzi wako, ukitumia ujumbe mzuri wa kimapenzi, hapa kuna baadhi ya sms za asubuhi njema za mapenzi kwa ajili yako: Read more
100 SMS za uchungu wa mapenzi na maisha
uchungu wa kihisia hutoka kwa vyanzo mbalimbali kama vile kupoteza uliyempenda, kukataliwa, kukatishwa tamaa, au kutokana na matarajio yasiyotimizwa. Hapa kuna sms za uchungu wa mapenzi na wa maisha kwa jumla. Read more
100 Misemo na nukuu za wanafalsafa
Falsafa ni uchunguzi wa kimfumo wa maswali ya jumla na ya kimsingi kuhusu mada kama uwepo, sababu, maarifa, thamani, akili, na lugha. Hapa ni misemo na nukuu za wanafalsafa. Read more
100 Misemo ya maisha
Ikiwa unatafuta motisha wa kufanya mabadiliko au kuishi maisha bora, umefika ndipo. Katika nakala hii utapata misemo 100 yenye nguvu ambayo itakufanya utafakari juu ya maisha. Read more
40+Misemo ya mafumbo na vitendawili
Vitendawili na mafumbo mara nyingi hutupa changamoto ya kufikiri zaidi ili kufafanua na kutatua changamoto. Kwa wale wanaotaka kufikiria zaidi na wakati huo huo kujiburudisha, tumekusanya maswali 43 ili kusumbua akili zako. Read more
100 SMS za mapenzi ya mbali
Mapenzi ya umbali na sms za mapenzi nzuri zinaweza kuambatana, moja wapo inaweza kuweka tabasamu kwenye uso wa mtu unayempenda na itasaidia uhusiano kubaki hai licha ya umbali wenu. Hii hapa ni sms za mapenzi ya mbali. Read more
Misemo ya hekima na maarifa
Katika makala haya, tunazama katika nyanja za hekima na maarifa, tukichunguza misemo ya hekima na maarifa ya kutuongoza katika maisha. Read more
Meseji nzuri za mahaba kwa umpendae
Hizi hapa ni meseji nzuri na tamu kwa umpendae. Meseji hzi hakika zitaburudisha mpenzi wako na kufanya mapenzi yenu yakuwe na nguvu. Read more
Love meseji za mpenzi wako
Hizi hapa ni love meseji kali za kumwambia mpenzi wako unampenda na kumthamini. Read more
SMS za busu: SMS za mapenzi kuomba busu.
Hizi hapa ni sms za busu unaweza mtumia mpenzi wako. Read more