Notifications
Clear all

Ama (Swahili to English translation)


(@brennonnaki)
Joined: 1 year ago
Posts: 180
Topic starter  

Ama katika Kiingereza inategemea na maana unayokusudia:

  • Ama (neno lenye kutumiwa katika chaguo la moja kati ya mambo mawili au vitu viwili) ni: either, or.
  • Ama (tamko linalofichua hisia ya kushangaa) ni: Exclamation for surprise like: Wow!
  • Ama (ambata) ni: Connect, attach.
  • Ama (juzuu ya mwanzo katika dini ya Kiislamu ambayo huisoma mtoto punde anapoanza madarasa) ni: The first part of the quran.
  • Ama (juzuu ya mwisho katika Kurani) ni: The last part of the quran.

https://mhariri.com/kamusi/maana-ya-maneno/maana-ya-neno-ama-na-english-translation/


   
Quote