Notifications
Clear all

Dada yako ameathiri vipi maisha yako?

   RSS

0
Topic starter

Mchango wa dada yako kwa maisha yako

@ikrstymy Dada yangu amenijulisha mambo mengi sana. Amenifunza jinsi ya kuongea na kushirikiana na watu. Amenifunza pia kazi niliyo nayo sasa hivi,amenipatia mwelekeo maishani.Kwa ajili yake nmekuwa mtu bora katika Jamie.Namshukuru sana.

2 Answers
0

@ikrstymy ninapenda dada yangu sana ila wakati wowote anapopata shida huwa najitahidi vilivyo kumsaidia. Hii huniathiri kwa sababu hajui kukaa mbali na shida. La muhimu ni kuwa damu ni nzito kuliko maji kwa hivyo nampenda sana.

0

Dada yangu amenifunza umuhimu wa mawasiliano katika Kila jambo ninalokusudia kulitendea.Pia amenifunza kujiamini na kutaenda yaliyo mema Kila wakati na kuzingatia tabia njema.

Njema