Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Pendekeza zawadi ambazo zinaweza kumfanya dada wako ajisikie wa pekee?

   RSS

0
Topic starter

Zawadi za dada

1 Answer
0

zawadi mzuri ni kununulia yeye simu ya maana, nguo amekua aki thamani sana, kumpeleka kwa hoteli ya kifahari, kumpatia kiwango mzuri cha pesa, kumpeleka mbuga la wanyama.