Notifications
Clear all

Kuna tofauti gani kati ya kinaya, sadfa na jazanda.

   RSS

0
Topic starter

Tofauti kati ya kinaya, sadfa na jazanda.

4 Answers
0

Kinaya ni kinyume na matarajio, Sadfa ni kutedeka kwa vitu viwili bila kutarajia na jazanda ni usemi wenye huhutaji kufumbuliwa.

0

Kinaya ni kinyume cha matarajio, sadfa ni mambo mawili kufanyika pamoja bila kutarajia, jazanda ni fumbo ambalo linahitaji kufumbuliwa.

0

Kinaya ni kinyume cha jambo, sadfa ni utokeaji wa mambo mawili au zaidi kwa wakati mmoja bila ya kutarajia au kupangwa, jazanda ni taswira

0

sadfa ni mambo mawili kufanyika pamoja bila kutarajia, ni kinyume cha jambo, na jazanda ni picha iliyo akilini mwa mtu pia taswira