Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Nipe mifano ya methali za bidii

   RSS

0
Topic starter

Methali za bidii

4 Answers
0

Methali za bidii ni kama:

Ajizi ni nyumba ya njaa

Aisyekubali kushindwa si mshindani

Atangaye na jua hujua

0

Baada ya dhiki faraja
Methali hii inamaanisha kwamba baada ya mateso utapata furaha.

Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi
Methali hii ina maana kwamba kila mtu ana bahati yake.

Bandu bandu humaliza gogo
Methali hii inamaanisha kwamba kufanya kitu kidogo kidogo hatimaye humaliza kazi kubwa.

Bura yangu sibadili kwa Rehani

Methali hii ina maana kwamba usitupe kitu chako, hata kama ni kibaya, ukitamani cha mwenzio.

0

Mifano yamethali za bidii ni kama:

  • Chanda chema huvikwa pete
  • Chelewa chelewa, utakuta mwana si wako
  • Chovya chovya humaliza buyu laa asali
  • Chungu kidogo huchemka upesi
  • Chururu si ndondo
  • Debe shinda haliachi kutika
  • Kazi mbi si mchezo mwema
  • Kulea mimba si kazi kazi kulea mwana
  • Kuvua si kazi kazi ni magawioni
0

Hakuna ziada mbovu

Hatua moja hufupisha safari

Heri kwaa ya dole kuliko kwaa ya ulimi

Debe tupu haliachi kuvuma

Heri nusu shari kuliko shari kamili

Subira yavuta heri na huleta kilicho mbali

Heri kujikwaa kidole kuliko ulimi