Kama uko na maswali kuhusu lugha ya Kiswahili uko huru kuuliza, pia uko na huru ya kujibu maswali humu ikiwa una jibu.
Taja aina za vihusishi na mifano
Brennon Nakisha, 1 year ago
Taja ngeli za kiswahili na mifano yake
Tiger in Swahili inaitwaje?
Aisling Beatha, 1 year ago
mifano ya vivumishi ni?
ikrstymy, 1 year ago
mifano ya visawe ni?
Uncle in Swahili ni?
mifano ya vitendawili na majibu
Vitate ni nini? Toa mifano ya vitate.
Toa mifano ya methali za Kiswahili na maana zake.
Nomino makundi ni gani? Toa mifano ya nomino makundi.