Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Tiger in Swahili inaitwaje?

   RSS

0
Topic starter

Tiger in Swahili

@aislingbeatha anaitwa chui

@aislingbeatha Neno “tiger” kwa Kiswahili ni “chui.” Hata hivyo, ni muhimu kufahamu kwamba “chui” kwa kawaida linaashiria chui madoa (leopard) kwa Kiswahili. Hii ni kwa sababu chui madoa wanapatikana asili katika Afrika, ilhali simba wa milia (tiger) hawapatikani asili barani Afrika. Kwa hiyo, wazungumzaji wa Kiswahili wanapomaanisha simba wa milia, wanaweza kusema “chui wa Bengal” au kutumia kifungu kingine cha maelezo ili kufanya utofauti uwe wazi.

4 Answers
1

Tiger ni simbamarara kwa Kiswahili

0

simbamarara ni tiger. Chui ni leopard

@oino na simba marara si lioness

0

Tiger in Swahili ni chui mkubwa mwenye nilia

chui mkubwa mwenye milia

@naigunjo umegonga ndipo

0

Tiger ni chui mkubwa kwa Kiswahili