Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Tunga sentensi ukitumia ki kama kitenzi kishirikishi kipungufu

   RSS

0
Topic starter

kitenzi kishirikishi kipungufu

Nilipokuwa nikitembea njiani saa kumi jioni siku ya jumapili, ghafla nikakumbuka kuwa nilihitaji kununua mkate kwa ajili ya chakula cha jioni, hivyo nikaelekea dukani mara moja ili nisichelewe na pia nisikose mlo jioni.

4 Answers
0

Chakula ki mezani

Kitabu ki mezani

Kiatu ki mvunguni

0

Kitoto ki kitandani

0

Kinyau ki kitini

Chakula ki mekoni

0

Kikombe ki kabatini

Chakula ki tayari

Â