Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Vitate ni nini? Toa mifano ya vitate.

Page 1 / 2
   RSS

0
Topic starter

Vitate vya Kiswahili

15 Answers
0

Vitate ni maneno mawili au zaidi yanayofanana kwa sauti lakini hayana maana sawa.

Mifano:

  1. Fahali na fahari
  2. Ndoa na doa
  3. Kalamu na karamu
  4. Mahali na mahari
  5. Baba na papa
  6. Chakula na chakura
  7. Kula na kura
  8. Shida na shinda
  9. Vaa na faa
  10. Futa na vuta
  11. Povu na bovu
  12. Kucha na kuja
  13. Bibi na pipi
  14. Mbwa na mpwa
  15. Janga na changa

Soma zaidi hapa: https://mhariri.com/kamusi/mifano-50-ya-vitate/

Masishi na mazizi
Pesa na beza
Kazi na Kasi
Punda na bunda
Ndevu na ndefu

Vundo na fundo
Pora na bora
Susu na zuzu
Fahali na fahari
Mahali na mahari

0

Maneno ya sauti sawa

Mifano: 

  1. Ndani na dani
  2. Goma na koma
0

Maneno ya sauti sawa lakini maana tofauti: Dumia na tumia, Fuja na vuja

0

Maneno ya matamshi sawa: 

  1. Doa na toa
  2. Dua na tua
0

Maneno yaliyo na sauti sawa:

Mifano ya vitate:

Choka na joka
Dada na tata

0

Mifano ya vitate:

Bata na Pata
Chini na jini

0

Vitate ni kama: 

Nje na Je
Ama na Hama

0

Mifano ya vitate: Saibu na shaibu, Chua na jua

0

Hoo ni mifano ya vitate:

  1. Sima na zima
  2. Kibubu na kipupu
0

Mifano ya vitate:

Saa na zaa
Soga na soka

0

Vitate ni maneno yanayo na matamshi sawaL

  1. Mtutu na mdudu
  2. Mkuu na mguu
0

Mifano ya vitate ni:

  1. Dumia na tumia
  2. Fuja na vuja
  3. Ndani na dani
  4. Goma na koma

Soma zaidi hapa

0

Mifano ya vitate ni:

  1. Dumia na tumia
  2. Fuja na vuja
  3. Ndani na dani
  4. Goma na koma

Soma zaidi hapa

0

Mifano ya vitatae ni kama:

  • Chini na jini
  • Choka na joka
  • Dada na tata
  • Doa na toa
  • Dua na tua
Page 1 / 2