Notifications
Clear all
0
19/06/2024 12:22 am
Topic starter
Sifa za uhusiano wa mafanikio
4 Answers
0
19/06/2024 9:40 am
- Uaminifu
- Mawasiliano
- Kumbuka kumfanyia mambo madogo
- Acha Ubinafsi
- Usiogope kamwe kuonyesha hadharani mapenzi
- Hakikisha pia kumpongeza mwenzi wako
0
19/06/2024 10:15 am
- Kuheshimiana.
- Uaminifu.
- Maelewano.
- Kutokuwa na ubinafsi.
- Mawasiliano mazuri.
- Kudhibiti hasira.
0
19/06/2024 10:38 am
Mawasiliano, Kuaminiana, Msamaha, Urafiki na Upendo.
0
19/06/2024 11:36 am
Uhusiano mwema una sifa kama: kukubalika, kuthaminiwa, na mapenzi.