Notifications
Clear all

Unapaswa kufanya nini ikiwa una hisia kwa mtu fulani lakini huna uhakika kama anahisi vivyo hivyo?

   RSS

0
Topic starter

Unaweza kuwa unampenda mtu lakini hujui kuwa anakupenda, hebu tuambie utafanya nini?

4 Answers
0

Unaweza kufurahishwa na kuona mtu unayempenda, lakini baadaye unakuwa na huzuni kubwa unapogundua hutawahi kuwa naye zaidi. Suluhisho ni jaribu kujizoeza kukubali hizo hisia, usipingane nazo. Mpokee anapokuja kwa maisha yako bila ya kuaambatanisha na matumaini na matarajio zaidi. Furahia pamoja na na aache nyakati hio ipite.

0

Mazungumzo na mtu mwingine kuhusu jinsi unavyohisi yanaweza kuonekana kuwa ya kutisha, lakini mara nyingi ndiyo njia bora ya kushughulikia hali hiyo.

0

Hisia zako zote ni halali, na kuzitambua na kuzikubali kunaweza kukusaidia kusonga mbele. Lakini kujaribu kudumisha hisia hizo bila kumwambia kuwa unampenda hutawahi kujua ukweli kama pia anakupenda, kwa hivyo chukua hatua na umwambie kuwa unampenda.

0

Kuna msemo unaenda kuwa “Sio sana juu ya kile kinachotokea kwetu maishani, ni zaidi juu ya jinsi tunavyoweza kujibu hali iliyopo”.
Unampenda mtu na unataka kupendwa pia. Labda haujapata matokeo unayotarajia, lakini hiyo haimaanishi kuwa upendo wako hauna maana. Jenga urafiki wenye nguvu na mtu huyo huenda pia amekupenda.