Kinyume cha neno binti

Posted by:

|

On:

|

Binti ni mzaliwa wa kike wa wazazi. Msichana.

Mfano: Ana mabinti ambao wamehiri.

Kisawe cha binti ni msichana, mwanamwali, gashi.

Kinyume cha binti

Kinyume cha binti ni mvulana au ghulamu.

Mvulana ni kijana wa kiume, mtoto wa kiume.

Mfano: Ana mvulana/ghulamu mtiifu sana.