Kinyume cha neno pana

Posted by:

|

On:

|

Pana ni iliyotanuka, zidisha ukubwa.

Mfano: Suruali yangu ina miguu mipana.

Kinyume cha pana

Kinyume cha pana ni -embamba (k.v: nyembamba.)

Nyembamba ni -eye -dogo kwa kiwango, kiasi, au upeo.

Mfano: Kaptura yangu ni nyembamba sana.

Kinyume cha nyembamba

Kinyume cha nyembamba ni pana.