Kinyume cha neno ziba

Posted by:

|

On:

|

Ziba ni kutia kitu penye ufa, pengo, tundu au uwazi fulani ili pashikamane na kuzuia vitu visipite.

Mfano: Ziba ufa utajenga ukuta.

Kinyume cha ziba

Kinyume cha ziba ni zibua.

Zibua ni ondoa kizuizi kilichoziba kitu.

Mfano: Maji yalizibua ukuta na kupita.