Tag: maana ya maneno ya Kiswahili
- Maana ya jina abidi na English translation- Maana ya jina abidi (Nomino katika ngeli ya [a-/wa]) (ush)mlimwengu, mja wa Mwenyezi Mungu. Kisawe… 
- Maana ya neno abee! na English translation- Maana ya neno abee! (Kihisishi) neno la kuitikia wito litumiwalo na wanawake wanapoitwa. Visawe ni:… 
- Maana ya neno abedari na English translation- Maana ya neno abedari 1. (Nomino katika ngeli ya [i-/zi-]) (bah) roda inayotumiwa kuvutia vitu… 
- Maana ya neno abdi na English Translation- Maana ya neno abdi (Nomino katika ngeli ya [a-/wa-]) (ush) mlimwengu, mja wa Mwenyezi Mungu.… 
- Maana ya neno abakusi na English translation- Maana ya neno abakusi (Nomino katika ngeli ya [i-/zi-]), kifaa chenye shanga au vihesabio vilivyotungwa… 
- Maana ya neno abadi na English translation- Maana ya neno abadi (Kielezi), neno linaloonyesha kutokoma kwa muda; daima, milele. Mfano: Anaishi hapa… 
- Maana ya neno abadani na English translation- Maana ya neno abadani (Kitenzi) neno la kusisitiza jambo lililo- tajwa ambalo limekanushwa. Visawe ni:… 
- Maana ya neno abaa! na English translation- Maana ya neno abaa! (Kihisishi) neno linalojenga usikivu wa yule unayemwita. Visawe ni: aisee, halo,… 
- Maana ya aazi na English translation- Maana ya aazi 1. (Nomino katika ngeli ya [a-/wa-]), ni mtu wa thamani. Visawe ni:… 
- Maana ya aathari na English translation- Maana ya aathari Aathari ni nomino katika ngeli ya [i-/zi-], mabaki (yatokanayo) na vitu vya…