Brennon Nakisha
Wingi wa chumba ni vyumba.
Read More…
Wingi wa rafiki ni marafiki.
Wingi wa shangazi ni shangazi.
Wingi wa samaki ni samaki.
Wingi wa changu ni vyetu.
Wingi wa baba ni baba.
Wingi wa kengele ni kengele.
Wingi wa pazia ni mapazia.
Wingi wa chati ni chati. Neno chati halibadiliki katika wingi bali linapakia vilevile.
Wingi wa ukucha ni kucha.