Category: Learn Swahili
Sehemu hii inahusu maana ya maneno ya Kiswahili na kujifunza kuhusu Lugha ya Kiswahili.
Kinyume cha neno kwama
Kinyume cha kwama ni kwamua, nasua. Read more
Kinyume cha neno wifi
Kinyume cha wifi ni: Shemeji /muamu/mwamu/mlamu. Read more
Kinyume cha neno uhuru
Uhuru ni: Hali ya kufanya jambo bila ya kuingiliwa na mtu au Kuomba ruhusa lakini kwa kufuata sheria na kanuni zilizohusika Hali ya kuishi bila kutawaliwa na mtu au nchi nyingine Haki fulani za kijamii, kisiasa na kiuchumi kwa mfano haki ya kupiga kura au haki. Kinyume cha uhuru Kinyume cha uhuru ni utumwa. Utumwa… Read more
Kinyume cha neno shona
Kinyume cha shona ni shonoa au fumua. Read more
Kinyume cha neno panga
Kinyume cha panga ni pangua, haribu, vuruga. Read more
Kinyume cha neno ndoa
Kinyume cha ndoa ni talaka. Read more
Kinyume cha neno kavu
Kinyume cha kavu ni majimaji. Read more
Kinyume cha neno injika
Kinyume cha injika ni epua. Read more
Kinyume cha neno hama
Kinyume cha hama ni kaa, ishi. Read more
Kinyume cha neno twika
Twika ni inua kitu na kukibandika begani au kichwani. Mfano: Mama alimtwika mtoto kuni kichwani. Kinyume cha twika Kinyume cha twika ni tua. Tua ni weka kitu chini kwa mfano mzigo kutoka kichwani au begani. Mfano: Juma alitua mzigo kutoka kichwani. Read more