Category: Learn Swahili
Sehemu hii inahusu maana ya maneno ya Kiswahili na kujifunza kuhusu Lugha ya Kiswahili.
Tende in english – Na faida za kula tende
Tende in English is dates. Huu ndio ufafanuzi wa Kiingereza wa dates: “Dates refer to the sweet, elongated fruits of the date palm tree. They grow in clusters and are enjoyed fresh, dried, or cooked with various dishes.” Read more
Dagaa in English – Maana na faida ya dagaa
Dagaa in English is Sardines. Huu ndio ufafanuzi wa Kiingereza wa sardine: a young pilchard or other young or small herring-like fish. Read more
Misemo ya dharau na maana ya dharau katika Kiswahili na English
Dharau ni tabia ya mtu ya kupuuza mambo na kutofuata kanuni au taratibu zilizowekwa. Dharau in English is to to despise or disdain. Huu ndio ufafanuzi wa Kiingereza wa neno dharau: the feeling that a person or a thing is worthless or beneath consideration. Pia hapa kuna misemo ya dharau: Read more
Maji in English, maana, umuhimu, ngeli na wingi
Maji ni kiowevu kisicho na rangi wala ladha kinachopatikana kwenye mito, bahari au maziwa na wakati mwingine hutokana na mvua ambacho viumbe hunywa na watu hupikia, huogea au kufulia. Read more
Sawa meaning in Kiswahili and English
Neno “sawa” linaweza kuwa na maana mbalimbali katika Kiingereza (English), kulingana na muktadha. Hapa kuna baadhi ya tafsiri za kawaida kwa Kiingereza: Read more
Ukubwa na udogo wa mtoto
Hii hapa ukubwa na udogo wa mtoto Read more
Wingi wa gari ni nini?
Jua wingi wa magari. Read more
Wingi wa nyumba ni nini?
Hii hapa ni wingi wa nyumba. Read more