Category: Kamusi
Kinyume cha neno twika
Twika ni inua kitu na kukibandika begani au kichwani. Mfano: Mama alimtwika mtoto kuni kichwani.…
Kinyume cha neno mrembo
Kinyume cha mrembo ni mtanashati au matindija kulingana na muktadha wa kinyume unacho lenga.