Category: Kamusi
Karani in English
Karani ni mfanyakazi wa ofisi ambaye huandika barua, hutunza majadala na kuhifadhi kumbukumbu za ofisi.
Kisima in English
1. Kisima ni mahali palipochimbwa maji kwa ajili ya matumizi ya jamii. 2. Kisima ni…
Mafua in English
Neno mafua hutafsiriwa kuwa flu in English. Ufafanuzi wa flu in English ni: “refers to…
Figo in English
Figo ni kiungo kilicho ndani ya mwili wa binadamu, mnyama na ndege ambacho hufanya kazi…
Kitambaa in English
Kitambaa ni kisehemu cha gora la nguo cha kushonea mavazi, pazia, leso na kadhalika, vazi…
Sadaka in English
Sadaka ni kitu au fedha ambazo mtu humpa mtu mwingine kwa mfano maskini au wagonjwa…
Nakupenda in English na meseji za love in English
Nakupenda in English ni “I love you”. Nakupenda (I love you) inamaanisha: Uthibitisho wa hisia…
Jongoo in English
Jongoo ni mdudu wa rangi nyeusi au kahawia mwenye miguu mingi sana. The Swahili word…