Category: Kamusi
Sehemu hii inahusu maana ya maneno ya Kiswahili na kujifunza kuhusu Lugha ya Kiswahili.
Mifano 25 ya vitanza ndimi
Vitanza ndimi ni maneno yanayokaribiana na kuitanaitana kimatamshi na kumkanganya msomaji hasa anapoyatamka kwa haraka. Mifano ya vitanza ndimi ni: Read more
Umuhimu wa hadithi
Hadithi ni uchawi, zinaweza kuunda ulimwengu usio wa halisi, hutufanya kuwa na hisia, na maoni mablimbali. Hadithi zinaweza kutufundisha kuwa na huruma, kutufanya kucheka, kulia, kuwa na woga na kisha kutufariji kwa mwisho mzuri. Hapa tuna baadhi ya umuhimu wa haithi. Read more
Mifano 50 ya vitate
Vitate ni maneno mawili au zaidi yanayofanana kwa sauti lakini hayana maana sawa. Hii hapa ni mifano 50 ya vitate. Read more
Mifano 100 ya tashbihi
Tashbihi ni lugha inayotumika kulinganisha vitu viwili vinavyofanana au kushabihiana. Inatumia viunganishi mithili ya, kama, mfano wa nk. Hii hap ani mifano ya tashbihi: Read more
Mifano 100 ya nomino za makundi
Nomino za makundi au jamii ni majina yanayotajia mkusanyiko wa vitu, watu au wanyama. Hizi ni mifano zaidi ya 100 ya nomino za makundi ya watu, vitu na wanyama. Read more
Salamu za kiswahili na majibu
Kuna salamu nyingi tofauti za kiswahili, kila moja yao ni ya kipekee kulingana na wakati. Hapa chini kuna aina za salamu za kiswahili na wakati wake. Pia kuna salamu za kiswahili pdf mwishoni wa nakala. Read more
Maneno yenye sauti /dh/ na /th/
Haya ni maneno ya Kiswahili yenye sauti dh na th Read more
Maneno yanayoanza na pw
Haya ni maneno ya Kiswahili yanayoanza na pw. Read more
Maneno yanayoanza na dh
Haya ni maneno ya Kiswahili yanayoanza na dh Read more
Maneno yanayoanza na fy
Haya ni maneno ya Kiswahili yanayoanza na fy Read more