Notifications
Clear all
Topic starter
18/04/2024 6:38 am
Amiri in English is translated depending on the context as:
- Amiri (kiongozi kamanda mwenye mamlaka makubwa hasa jeshini) ni: commander.
- Amiri (mtu mwenye hatamu za mamlaka au amri) ni: leader or ruler.
- Amiri (Fanya kitu kwa mara ya kwanza) ni: to start or begin.
https://mhariri.com/kamusi/maana-ya-maneno/maana-ya-neno-amiri-na-english-translation/