Notifications
Clear all
Topic starter
18/04/2024 8:18 am
Amsha is translated in English depending on the context you’re referring to:
- Amsha (fanya mtu ashtuke na kufumbua macho kutoka usingizini) ni: To wake up, arouse.
- Amsha (zindusha au erevusha juu ya kitu au jambo) ni: enkindle, rouse, stimulate activate.
Topic starter
18/04/2024 8:18 am