Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Mifano katika ngeli ya ku-ku

   RSS

0
Topic starter

ngeli ya ku-ku

4 Answers
0

Ngeli hii hutambulika kuwa ngeli ya vitenzi-jina k.m: kucheka, kulia, kulala

0

Umoja – Wingi

Kufagia – Kufagia

Kucheka – Kucheka

Kuandika – Kuandika

Kulia – Kulia

Kuimba – Kuimba

Kucheka – Kucheka

Kula – Kula

0

Mfano ni: kukimbia, kuenda, kuandika, kusoma, kulima, kulia, kula, kunywa, nk.

0

Ngeli hii huundwa na nomino ambazo ziliundwa kutokana na vitenzi.

Kwa mfano:

Kitenzi. – Nomino

1. Ruka. – Kuruka.
2. Lala. – Kulala.
3. Omba. – Kuomba.
4. Fika. – Kufika.
5. Uma. – Kuuma.
6. Chimba. – Kuchimba.