Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Mifano katika ngeli ya ya-ya

   RSS

0
Topic starter

ngeli ya ya-ya

4 Answers
0

Mifano katika ngeli hii ni:

  • Maji
  • Mafuta
  • Mate
  • Marashi
  • Manukato
0

Nomino zinazoainishwa katika ngeli hii, huchukua kiambishi “ya- “cha upatanisho wa kisarufi katika hali zote.

Mifano: maji, mate, marashi, mafuta, madaraka, mamlaka, maisha, masuo, masira, maringo, maafa n.k.

0

Mifano ya nomino katika ngeli ya “Ya-Ya”:

Umoja – Wingi

Maji – Maji
Mate – Mate
Mafuta – Mafuta
Madaraka – Madaraka
Mamlaka – Mamlaka
Maisha – Maisha
Maringo – Maringo
Maafa – Maafa

0

Nomino hizi zinahusu vitu visivyohesabika kwa ubainifu na vilivyo katika wingi tu.

Mfano:

Mavune
Maumivu
Manukato
Maisha
Mafuta
Maarifa
Mazingaombwe
Maasi
Mamlaka
Makala n.k.