Mhariri Forum

Notifications
Clear all

mifano ya visawe ni?

   RSS

0
Topic starter

mifano ya visawe

4 Answers
0

Hii hapa ni mifano ya visawe:

Adui – Visawe vya neno “adui” ni “hasimu” na “hasidi”.
Msichana – Visawe vya msichana ni: Binti, Kidosho, Banati, Kipusa, Gashi
Mvulana – Visawe vya mvulana ni: Mtanashati, Ghulamu, Janadume, Mvuli, Barobaro, Shababi
Mama – Visawe vya mama ni: Nina, Nyoko
Barabara – Kisawe cha barabara ya njia ni baraste au tariki, Kisawe cha barabara ya bila kasoro ni sawasawa.

Soma zaidi mifano ya visawe

0

Hapa ni mfano ya visawe:

  • Kinyonga – Kisawe cha Kinyonga ni Lumbwi.
  • Daktari – Visawe vya Daktari ni: Muuguzi, Mganga, Tabibu
  • Heshima – Kisawe cha heshima ni staha
  • Pesa – Visawe vya pesa ni: peni, darahima, fulusi, fedha, hela
  • Mnyama – Kisawe cha mnyama ni hayawani

Soma zaidi hapa

0

Visawe ni kama:

Chuana=Shindana
Chubua=Chuna
Chubuko=Jeraha
Chumvi=Munyu
Duara=Mviringo
Dunia=Ulimwengu
Familia=Kaya
Fedha=Hela/Pesa
Fukara=Maskini

0

Mifano zaidi ya visawe ni:

Laghai=Danganya
Lisanj=Ulimi
Majira=Wakati
Manii=Shahawa

Nuru=Mng’ao
Nyanya=Bibi
Nyati=Mbogo
Ongea=Sema/Zungumza
Pombe=Mtindi
Raba=Kifutio