Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Nitaachaje kumfikiria mpenzi wangu wa zamani na kutaka turudiane wakati yeye hanitaki?

   RSS

0
Topic starter

Jinsi ya kuacha kufikiria ex na wazo la kurudiane

@antonymukuria Jitahidi kuelewa ni kwa nini ulikataliwa. Je, kuna mambo unaweza kujiboresha kuhusu jinsi ulivyokaribia au kuelezea hisia zako? Kutathmini hii inaweza kukusaidia kujua ikiwa kujaribu tena kunaweza kuwa na matokeo bora.

5 Answers
0

Ukitaka kuacha kumfikiria wako wa zamani mwanzo unafaa kuhama mtaa ambao mlikua mnaishi ikiwa mlikua mnaishi mtaa mmoja nyote, pili wafaa kufuta namba zake na picha zozote mlizopiga pamoja na mwisho kabisa wafaa kutafuta kitu ya kujishughulisha nacho na utafute marafiki wa kuongea nao.

0

Hiyo ni kuwa pathetic. Acha kumlilia na utafute mtu mwingine.

0

Kubali kuwa imekwisha na usonge mbele kwa uhusiano mpya na bora.

0

Kubali kwamba imeisha, mtu huyo hakuwa mtu uliyekusudiwa kuwa pamoja naye. 

0

Ipe muda tu yote yatapita