Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Uhusiano unaweza kurudi katika hali ya kawaida baada ya mtu kudanganya?

   RSS

0
Topic starter

Uhusiano utarudi katika hali ya kawaida baada ya kudanganya.

4 Answers
0

Kudanganya ni usaliti mkubwa sana katika uhusiano. Kudanganya kunaharibu uaminifu katika uhusiano. Uaminifu ndio msingi, na mara hiyo inapoharibiwa, ni vigumu kujenga upya, unaweza jaribu kujenga lakini uhusiano wenu utakuwa sawa na kama wa hapo awali.

Mtu anapodanganya, anakuonyesha kiwango cha kutokuheshimu ambacho ni vigumu kurekebisha. Mtu akifanya uzinzi katika uhusiano anakuanyesha kwamba tamaa zao za kimwili ni muhimu zaidi kuliko hisia zako, heshima yako, na kujitolea kwako. 

0
Topic starter

Uhusiano unaweza kurudi katika hali ya kawaida ikiwa wapendwa wote wataamua kusahau yaliyopita na kusamehe na kuwa waaminifu kuendelee.

0

Haiwezekani. Nimepitia hayo na najua, uhusiano hauwezi kurudi katika hali ya kawada. Hakuna kiasi cha uhakikisho kutoka kwa mwenzio kitakachonifanya umwamini tena, kwa kuzingatia kuwa alikudanganya.

0

Ndiyo, uhusiano unaweza kupona baada ya kudanganya, lakini unahitaji wakati, jitihada, mawasiliano, na kujitolea kwa pande zote ili kujenga upya uaminifu.