Tag: translation

 • Maana ya neno amiba na English translation

  Maana ya neno amiba Matamshi/amiba/ (Nomino katika ngeli ya [a-wa]) Maana: vidudu vidogo vilivyo hai vyenye seli moja na umbo lao hubadilika wakati wote. Amiba Katika Kiingereza (English translation) Amiba katika Kiingereza ni: Amoeba. Read more

 • Maana ya neno ambika na English translation

  Maana ya neno ambika Matamshi: /ambika/ Ambika 1 (Kitenzi elekezi) Maana: 1. andaa mtego wa samaki kwa nyavu katika maji yenye kina kirefu au maji mafu. 2. tega chambo katika mshipi wa uvuvi. 3. loweka au didimiza majini. Mnyambuliko wake ni: → ambikia, ambikiana, ambikisha, ambikwa. Ambika 2 (Kitenzi elekezi ) Maana: zulia au singizia… Read more

 • Maana ya neno alkoholi na English translation

  Maana ya neno alkoholi Matamshi: /alkǝhǝli/ (Nomino katika ngeli ya [i-i]) Maana: 1. kiowevu kilicho angavu kinachosababisha mtu kulewa baada ya kunywa. 2. mchachuko wa sukari na vitu vyenye chembechembe za sukari ambao hutumika kama dawa. Alkoholi Katika Kiingereza (English translation) Alkoholi katika Kiingereza ni: alcohol. Read more

 • Maana ya neno alau na English translation

  Maana ya neno alau Matamshi: /alau/ (Kivumishi) Maana: ingawa; japo, hata. Alau Katika Kiingereza (English translation) Alau katika Kiingereza ni: although, though, even. Read more

 • Maana ya neno alasiri na English translation

  Maana ya neno alasiri Matamshi: /alasiri/ Alasiri 1 (Nomino katika ngeli ya [i-zi]) Maana: wakati kati ya saa tisa na saa kumi na moja jioni. Alasiri 2 (Nomino katika ngeli ya [i-zi]) Maana: ibada ya Kiislamu inayofanywa kuanzia saa tisa hadi kabla ya magharibi. Alasiri Katika Kiingereza (English translation) Alasiri katika Kiingereza inategemea na maana… Read more

 • Maana ya neno ala ala na English translation

  Maana ya neno ala ala Matamshi: /ala ala/ (Kielezi) Maana: pia hala hala, tamko la kutilia mkazo au msisitizo wa kukumbusha jambo fulani lisisahaulike kutendwa. Ala ala Katika Kiingereza (English translation) Ala ala katika Kiingereza ni: a statement of emphasize like: Read more

 • Maana ya neno akraba na English translation

  Maana ya neno akraba Matamshi: /akraba/ (Nomino katika ngeli ya [a-wa]) Maana: jamaa, ndugu au ahali. Akraba Katika Kiingereza (English translation) Akraba katika Kiingereza ni: relative, sibling or kin. Read more

 • Maana ya neno -ako

  Maana ya neno -ako Matamshi: /akɔ/ (Kivumishi) Maana: mzizi wa kivumishi kimilikishi cha nafsi ya pili katika hali umoja. -ako Katika Kiingereza (English translation) -ako katika Kiingereza ni: The second-person possessive pronoun “your” in singular. Read more

 • Maana ya neno akhi na English translation

  Maana ya neno akhi Matamshi: /axi/ (Nomino katika ngeli ya [a-wa]) Maana: ndugu, jamaa au yahe. Akhi Katika Kiingereza (English translation) Akhi katika Kiigereza ni: Sibling, relative or a friend. Read more

 • Granted in Swahili (English to Swahili Translation)

  Granted in Swahili is translated as:  chukulia (kwa ajili ya), kubali Read more