Brennon Nakisha
Kinyume cha ficha ni: fichua, funua, futua.
Read More…
Kinyume cha bidii ni uvivu, uzembe, ulegevu, ubwete, ukunguni, utepetevu, ajizi, nk.
Kinyume cha choma (penyeza kitu chenye ncha) ni chomoa au toa.
Kinyume cha vaa ni vua.
Kinyume cha haba ni: tele au -ingi (kama vile; mingi, nyingi, n.k.)
Kinyume cha meza (kukula) ni: tapika au tema.
Kinyume cha tandika ni tandua.
Kinyume cha zika ni: zikua, zua au fukua.
Kinyume cha wema ni uovu au ubaya.
Kinyume cha mkaidi ni mtiifu.