Category: Kamusi

Sehemu hii inahusu maana ya maneno ya Kiswahili na kujifunza kuhusu Lugha ya Kiswahili.

  • Maana ya neno ambo na English translation

    Maana ya neno ambo Matamshi:  /ambɔ/ Wingi wa ambo ni maambo. Ambo 1 (Nomino katika ngeli ya [li-ya]) 1. maradhi yanayosambazika. 2. kitu kinachosambaza au kueneza maradhi au ugonjwa fulani kama vile mdudu au maji. Ambo 2 (Nomino katika ngeli ya [li-ya]) Maana: aina ya gluu au kitu kinachonata kama gundi. Ambo Katika Kiingereza (English… Read more

  • Maana ya neno ambizana na English translation

    Maana ya neno ambizana Matamshi: /ambizana/ (Kitenzi elekezi) Maana: pashana habari hasa kwa njia ya usimulizi badala ya uandishi. Ambizana Katika Kiingereza (English translation) Ambizana katika Kiingereza ni: “converse,” “chat,” “discuss,” or simply “talk.” Read more

  • Maana ya neno ambisha na English translation

    Maana ya neno ambisha Matamshi: /ambisha/ (Kitenzi elekezi) Maana: 1. pia ambisa, sogeza na kupanga vitu kwa mkaribiano kama vile kuziweka dau, ngalawa au mashua pamoja ufukweni; funganisha chombo kimoja cha bahari na chombo kingine. 2. ongeza silabi kisarufi kwenye mzizi wa neno. Mnyambuliko wake ni → ambishia, ambishiana, ambishika, ambishwa. Ambisha Katika Kiingereza (English… Read more

  • Maana ya neno ambilika na English translation

    Maana ya neno ambilika Matamshi: /ambilika/ Ambilika 1 (Kivumishi) Maana: sifa ya mtu unayeweza kumshawishi akubali maoni yako au ya wenzako; mwenye uwezo wa kupokea maoni ya wengine.  Ambilika 2 (Kitenzi si elekezi) Maana: weza kupokea au kukubali maoni au rai za watu wengine. Ambilika Katika Kiingereza (English translation) Ambilika katika Kiingereza inategemea na maana… Read more

  • Maana ya neno ambika na English translation

    Maana ya neno ambika Matamshi: /ambika/ Ambika 1 (Kitenzi elekezi) Maana: 1. andaa mtego wa samaki kwa nyavu katika maji yenye kina kirefu au maji mafu. 2. tega chambo katika mshipi wa uvuvi. 3. loweka au didimiza majini. Mnyambuliko wake ni: → ambikia, ambikiana, ambikisha, ambikwa. Ambika 2 (Kitenzi elekezi ) Maana: zulia au singizia… Read more

  • Maana ya neno ambia na English translation

    Maana ya neno ambia Matamshi: /ambia/ (Kitenzi elekezi) Maana: dokeza au pasha mtu habari fulani. Kisawe chake ni: fahamisha; julisha. Mfano: Mwalimu alimwambia Juma kuwa alikuwa amefuzu vizuri katika mtihani wake. Mnyambuliko wake ni: → ambiana, ambika, ambilia, ambiwa, ambiza. Ambia Katika Kiingereza (English translation) Ambia katika Kiingereza ni: To tell or inform someone of… Read more

  • Maana ya neno ambatisha na English translation

    Maana ya neno ambatisha Matamshi: /ambatisha/ (Kitenzi elekezi ) Maana: bandika au ongeza kibandiko kingine cha ziada. Mnyambuliko wa ambatisha ni: → ambatishana, ambatishia, ambatishika, ambatishwa. Ambatisha Katika Kiingereza (English translation) Ambatisha katika Kiingereza ni: To stick or add an additional label. Read more

  • Maana ya neno ambatano na English translation

    Maana ya neno ambatano Matamshi: /ambatanɔ/ Wingi wa ambatano ni maambatano. (Nomino katika ngeli ya [li-ya]) Maana: tendo la kuambatana. Ambatano Katika Kiingereza (English translation) Ambatano katika Kiingereza ni: the act or state of cohering, uniting, or sticking together. Read more

  • Maana ya neno ambatanisho na English translation

    Maana ya neno ambatanisho Matamshi: /ambatanisɔ/ (Nomino katika ngeli ya [i- zi]) Maana: faili au data inayojumuishwa na baruapepe. Ambatanisho Katika Kiingereza (English translation) Ambatanisho katika Kiingereza ni: File or data attached to an email. Read more

  • Maana ya neno ambatanifu na English translation

    Maana ya neno ambatanifu Matamshi: /ambatanifu/ (Kivumishi) Maana: -enye upatanifu au kushikamana. Ambatanifu Katika Kiingereza (English translation) Ambatanifu katika Kiingereza ni: have harmony or cohesion. Read more