Category: Swahili quotes
Sehemu hii inahusu dondoo katika lugha ya Kiswahili
Funny Sheng Quotes
Hapa down tumekupa our selection of funny sheng quotes za kujiburudisha. Read more
Misemo ya dharau na maana ya dharau katika Kiswahili na English
Dharau ni tabia ya mtu ya kupuuza mambo na kutofuata kanuni au taratibu zilizowekwa. Dharau in English is to to despise or disdain. Huu ndio ufafanuzi wa Kiingereza wa neno dharau: the feeling that a person or a thing is worthless or beneath consideration. Pia hapa kuna misemo ya dharau: Read more
Maneno ya huzuni kwa mpenzi
Huzuni ni hisia inayoonyeshwa na kutokuwa na furaha, kawaida husababishwa na kupoteza kitu au mtu muhimu. Kwa makala haya tumekuandalia maneno ya huzuni ili kueleza hisia zako endapo umeumizwa na mpenzi wako. Read more
Vichekesho vya mapenzi (memes za mapenzi)
Hapa tuna memes za kuchekesha za mapenzi zenye unaenza tuma kama picha kwa mpenziwe ama kuweka status. Read more
Vichekesho vya Kiswahili (memes za Swahili na Sheng)
Hapa tuna vichekesho na memes za Kiswahili na Sheng. Hizi vichekesho ni za kukufurahisha pia unaeza tumia kama status. Read more
Salamu za sheng na majibu
Sheng ni lugha common hapa Kenya, na hapa chini tumekupa salamu za sheng ambazo hutumiwa na majority ya Kenyans. Read more
Vybes za kukatia dem
Hapa tumekupa vibes za kukatia dem, iwe unatafuta kitu vibes za kuchekesha, za kupendeza, za sheng au za kuibua hisia hizo zote tumekupa hapa chini. Kwa hivyo usiwe na shaka na uchukue nafasi hiyo ya kukatia huyo dem. Read more
Jumbe za siku ya akina baba
Siku ya akina baba ni likizo ya kuheshimu baba wa mtu na kusherekea ushawishi wa baba katika jamii. Siku ya akina baba inakuwa Jumapili ya tatu mwezi Juni. Hapa utapata jinsi ya kusherekea siku hii, umuhimu na jumbe za siku ya akina baba. Read more
Maneno ya utani na kuchekesha
Ikiwa umewahi kujiuliza ni aina gani ya maneno ya kuchekesha ambayo unaweza kutumia katika mazungumzo na marafiki zako. Hapa chini, tumekusanya maneno ya kuchekesha na ya utani unaenza tumia. Read more
Maneno ya kishujaa
Haya maneno ya kishujaa yatakutia moyo. Mashujaa wapo katika nyanja zote za maisha, awe baba yako au rafiki yako, kila mtu ana hadithi ya kusimulia. Haya hapa maneno ya kishujaa: Read more