Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Mifano katika ngeli ya li-ya ni?

   RSS

0
Topic starter

ngeli ya li-ya

4 Answers
0

Mifano katika ngeli ya li-ya ni k.v: Godoro, gari, zulia, kabati,jino, jua, nk.

0

Mifano

Basi-mabasi

Duka – maduka

lori – malori

Dirisha – Madirisha

Daftari – Madaftari

0

Mifano:

Umoja – Wingi

 • jicho-macho
 • jina-majina
 • jitu-majitu
 • goma-magoma
 • jambo-mambo
 • janga-majanga
 • jembe-majembe
 • jeneza-majeneza
 • wazo-mawazo
 • tunda-matunda
 • jua-majua
 • ziwa-maziwa
 • ua-maua
0

Mfano:

Umoja – Wingi

jiwe-mawe

jina-majina

jiko-meko

jino-meno

gari – magari

jembe –majembe

jani-majani

jitu –majitu

joto-joto

jua-jua

jasho-jasho