Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Taja mifano katika ngeli ya ki vi

   RSS

0
Topic starter

ngeli ya ki vi

4 Answers
0
 • Kikombe (umoja) vikombe (wingi)
 • Kisima (umoja) visima (wingi)
 • Chuo (umoja) vyuo (wingi)
 • Kijiti (umoja) vijiti (wingi)
 • Kibao (umoja) vibao (wingi)
0

Mfano

Kitabu-Vitabu

Kitovu-vitovu

Kibiriti-Vibiriti

Kifunguo-Vifunguo

Kisima-Visima

0

Mifano zaidi ni:

 • kijitu-vijitu
 • kigombe-vigombe
 • kiguu-viguu
 • kidovu-vidovu
 • kisu-visu
 • kitabu-vitabu
 • chakula-vyakula
 • chanda-vyanda
0

Majina ya lugha mbalimbali.

Kama vile;

Kiswahili
Kiingereza
Kiajemi
Kijerumani
Kihausa