Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Mifano katika ngeli ya u-i ni?

   RSS

0
Topic starter

ngeli ya u-i

4 Answers
0

Mifano katika ngeli hii ni 

 • Miti / mimea: mwiba-miiba, mkoma-mikoma, mwembe-miembe, mchai-michai
0

Mifano:

Mti – miti

Mtihani – Mitihani

Mmea – Mimea

Mlima -Milima

Mkono – Mikono

0

Mifano ya nomino zinazopatikana katika ngeli ya u-i ni;

Umoja – Wingi

 • mgomo-migomo
 • mwendo-myendo
 • msukosuko-misukosuko
 • mlima-milima
 • mwamba-myamba
 • Mchungwa-michungwa
 • Mkoko-mikoko
 • mkono-mikono
 • mfupa-mifupa
 • msumari-misumari
0

         Umoja – Wingi

 • mkebe-mikebe
 • mtambo-mitambo
 • msumari-misumari
 • mji-miji
 • mtaa-mitaa
 • mlima-milima
 • msitu-misitu
 • msimu-misimu
 • mwaka-miaka