Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Mifano katika ngeli ya ngeli ya u-u

   RSS

0
Topic starter

ngeli ya u-u

4 Answers
0

Ngeli hii huhusisha kundi la nomino zinazochukua kiambishi u- , nomino za kundi hili hazina wingi.
Mfano: ulafi, uchoyo, ufupi, utajiri, ukubwa, udogo, urembo, nk.

0

Nomino katika ngeli hii hazina wingi na huanza na kiambishi ‘u-‘. Mfano:

Ujinga
Ulafi
Ulaji
Werevu
Unga
Uji
Ugali

0

Mfano ni: uji, ugali, ujima, ugoro, nk.

0

Mifano: Ujinga –Ujinga, Ulafi-ulafi, Ulaji –ulaji, Wizi-wizi