Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Toa mifano katika ngeli ya a-wa

   RSS

0
Topic starter

ngeli ya a-wa

4 Answers
0

Mifano ya ngeli ya A-Wa

Wanadamu: mtoto, ndugu, msamaria, daktari, kiongozi

Wanyama: ng’ombe, mbuzi, swara, nyati, nguchiro

 

0

Mifano ni kama:

         umoja – wingi

 • kiwete-viwete
 • kibyongo-vibyongo
 • nabii-manabii
 • kuku-kuku
 • Waziri-Mawaziri
 • mtu-watu,
 • mkulima-wakulima
 • mtume-mitume
 • mkizi-mikizi
0

Mifano ya nomino katika ngeli ya A-WA:

     Umoja – Wingi

 • Mtu – Watu
 • Mtoto – Watoto
 • Mwanamke – Wanawake
 • Mwanaume – Wanaume
 • Mwalimu – Walimu
 • Mwanafunzi – Wanafunzi
 • Mti – Miti
 • Mnyama – Wanyama
 • Ndege – Ndege
 • Samaki – Samaki
0

       Umoja – Wingi

 • Mtoto – Watoto
 • Mtu- Watu
 • Mkunga – Wakunga
 • Mwanamke – Wanawake
 • Mwanamume, Wanaume
 • Mgonjwa – Wangonjwa
 • Mchungaji – Wachungaji