Mhariri Forum

Notifications
Clear all

Nomino makundi ni gani? Toa mifano ya nomino makundi.

   RSS

1
Topic starter

Nomino makundi/ Nomino jamii.

5 Answers
1
Topic starter

umati wa watu

1

Kikosi cha askari

Mkururo wa watoto

Halaiki ya watu

Mlolongo wa watu

Msafara wa watu

Umati wa watu

Baraza la wazee

Sherehe ya harusi

Baraza la mawaziri

Jamii ya watu

Hadhara ya watu

Sisisi ya watu

Sufufu ya watu

Msafara wa watu

Soma zaidi hapa: https://mhariri.com/kamusi/mifano-100-ya-nomino-za-makundi/

1

Hapa kuna baadhi ya nomino za makundi/ nomino jamii:

  • Halmashauri ya shule
  • Mzengwe wa wagomaji
  • Kaumu ya watu
  • Kikoa cha waimbaji
  • Kilinge cha wachawi
  • Kilinge cha waganga

Soma zaidi hapa.

1

Mifano za nomino za makundi ni:

  • Ardhi=Dunia
  • Ari=Nia
  • Aibu=Soni
  • Azma=Makusudio
  • Binti=Msichana
  • Chakula=Mlo
  • Chanzo=Sababu
  • Cheti=Hati

Soma zaidi 

1

Mifano ya nomino za makundi ya vitu

  • Shada la maua
  • Funda la maji
  • Pakacha la matunda
  • Jozi ya viatu
  • Jozi ya soksi
  • Jozi ya vipuli
  • Jozi ya karata